↧
Nahitaji mchumba wa kuoa awe mzuri
Nahitaji mchumba wa kuoa awe mzuri, awe tayari kuishi na mimi, kama upo tayari nichek namba 0657349324
View ArticleHello... Natafuta mchumba wa kiume, ambaye tutakuwa marafiki Wazuri
Hello... Natafuta mchumba wa kiume, ambaye tutakuwa marafiki Wazuri. I'm 27 years old.. Na ningependa awe na umri kuanzia 30-45. Awe MKRISTO, MREFU na anafanya kazi halali au employed. Awe anaishi Dar...
View ArticleNatafuta mchumba wa kike
Mi naitwa Peter, umri wangu ni miaka 31. Natafuta mchumba wa kike. Mengi kuhusu Mimi utayajua tutakapowasiliana, namba yangu kunipata tumia 0788630152.
View ArticleNatafuta MSICHANA alie tayari kuwa mchumba wa mtu kweli tuanze safari...
Natafuta MSICHANA alie tayari kuwa mchumba wa mtu kweli tuanze safari kuelekea ndoa na kuishi pamoja milele. Awe na umri kati ya miaka 20 mpaka 27, mimi ni mkristo na nina miaka 32. Sichagui dini wala...
View ArticleNaitwa Kelvin wa Musoma nataka mchumba
Naitwa Kelvin wa Musoma nataka mchumba kuanzia miaka 19 hadi 21, ambae yuko tayar anichek 0756059604, kama hauna uhitaj acha sio lazima ni hiar ya m2 asanten??.
View ArticleNaitwa Oliva, Nahitaji mume serious
Naitwa Oliva Robert, RC, mtumishi Serikalini, umri wangu miaka 40, mwembamba wastani, maji ya kunde, mrefu kidogo. Nipo serious nataka mume.Mume nimtakaye awe na sifa hizi: RC, awe na umri kuanzia...
View ArticleSalum Wa Dar es Salaam natafuta mwanamke wa kuoa
Salum Wa Dar es Salaam nina miaka 27, natafuta mwanamke wa kuoa, awe na umri wa miaka 24 kurudi chini, awe mrefu aliyejazia jazia, awe mwislam anayeijua dini vizuri yaan awe na hofu ya Mungu, anitafute...
View ArticleMwanamke anayehitaji kuolewa soma hapa
Nina umri wa miaka 27, naisha Dar es Salaam, natafuta mwanamke wa kuoa, awe mrefu aliyejazia kidogo, awe na umri kuanzia miaka 24 kurudi chini, elimu kuanzia form six na kuendelea, awe mwislam...
View ArticleIbrahim Natafuta mchumba serious baadae awe mke tukielewana
Asalam Aleykum..! Naitwa Ibrahim, nina miaka 29, naishi mkoani Arusha, ni mfanyakazi katika kampuni ya Kranj's Ltd hapa Arusha!! Natafuta mchumba serious baadae awe mke tukielewana! Aliye tayari...
View ArticleDenis wa Dodoma natafuta mpenzi wa kike au msichana baadae awe mama watoto wangu
Naitwa Denis nina umri wa miaka 30, napatikana Dodoma . Mimi nimejiajiri mwenye, natafuta mpenzi wa kike au msichana baadae awe mama watoto wangu, mimi sina mtoto, mwanamke au msichana ninayetafuta ni...
View ArticleJerry natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana mawazo
Naitwa Jerry, umri wangu miaka 27, natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo wa jinsi ya kike, Whatsupp No. 0743908762
View ArticleNaitwa Elifuraha Lyimo, natafuta mchumba wa ukweli
Naitwa Elifuraha Lyimo, natafuta mchumba wa ukweli, nipo Arusha. Aliye serious anicheki kwa namba hii 0714954609 au Email yangu : elifurahalyimo98@gmail.com
View ArticleNatafuta mwanamke wa kumuoa umri kuanzia miaka 18 mpaka 22
Natafuta mwanamke wa kumuoa umri kuanzia miaka 18 mpaka 22, mawasiliano 0678288425
View ArticleNaitwa Khamis Khamza natafuta mwanamke wa kumuoa
Naitwa Khamis Khamza natafuta mwanamke wa kumuoa, umri kuanzia miaka 18 mpaka 22, hamisihamza135@gmail.com
View ArticleIssa from Dsm Natafuta mchmba wa kike
Hey ma name is Issa from Dsm. Natafuta mchmba wa kike; awe mrefu wa kawaida, sio mweusi wala mnene. Whatsapp namba 0719876120 AU SMS NA KUPIGA 0692679491
View ArticleNatafuta msichana wa kubadilishana mawazo
Awe na umri miaka 18 adi 22, email yangu saidimohamedi@gmail.com.
View ArticleOmary Leonard wa Mbeya Natafuta mchumba
Jina langu naitwa Omary Leonard Natokea Mbeya. Natafuta mchumba, sibagui dini, awe na mapenzi ya kweli, Awe mcha Mungu, Awe na akili timamu, Elimu yoyote ile, Pia umri kuanzia 18-24,...
View ArticleNatafuta mchumba wa kuwa nae kwenye mapenz
Natafuta mchumba wa kuwa nae kwenye mapenz. Awe mkweli na muwazi, na asiwe mdangaji, uwe Dar, 0754648779
View Article