Naitwa Oliva Robert, RC, mtumishi Serikalini, umri wangu miaka 40, mwembamba wastani, maji ya kunde, mrefu kidogo. Nipo serious nataka mume.
Mume nimtakaye awe na sifa hizi: RC, awe na umri kuanzia miaka 45-50, awe na kipato halali, mtumishi Serikarini, mjasiriamali, mfanyabiashara, asivute sigara, awe tayari kupima afya yake, asiwe Mme wa mtu, Oresterrobert6@mail.com