Quantcast
Channel: postiboard
Viewing all articles
Browse latest Browse all 219

Ibrahim Natafuta mchumba serious baadae awe mke tukielewana

$
0
0
Asalam Aleykum..! Naitwa Ibrahim, nina miaka 29, naishi mkoani Arusha, ni mfanyakazi katika kampuni ya Kranj's Ltd hapa Arusha!! Natafuta mchumba serious baadae awe mke tukielewana! Aliye tayari anicheki kwa namba 0693 295 377 Tujuane zaidi. Ahsanteni na Mungu Awabariki.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 219

Trending Articles