Naitwa Marietah naishi Mwanza Nyegezi, umri wangu miaka 29, najishughulisha na biashara za saloon na vitu vya urembo kwa wanawake. Niliwahi kuoelewa mara moja lakini tulishindwana tabia na yule mwanaume tukaachana. Sina mtoto wala sijawahi kuzaa. Situmii kilevi chochote ila muda mwingi natumia kwenye shughuli zangu za kutafuta maisha. Natafuta/nahitaji mwanaume/ mume alie serious na suala la kuingia kwenye ndoa ili tuanzishe familia kama tukiendana. Nahitaji mwanaume anayejitambua na kujiheshimu na pia awe na shughuli ya kumuingizia kipato inayoeleweka, asiwe tegemezi. Kwa aliye tayari tu nitafute ili tuongee kwa kirefu na kufahamiana. Namba yangu 074409613
↧