Naitwa Andrew nipo Mbeya, nina miaka 33 sasa, natafuta mwanamke mtu mzima aliye serious kwa mapenzi ya kudumu na awe tayari kupima HIV. Umri, kabila, dini, umbo sio vigezo, ili mradi tu asiwe tegemezi na awe ana kipato cha kujitegemea mwenyewe. Anitafute kwa namba hiyo 0716713199. Mambo mengine tutayajenga tukikutana. Ahsante
↧