Naitwa Immanuel Daudi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 natafuta mwanamke wa kuoa. Mm kitaluma ni mwal mwenye bachelor, Niko mwanza.
Sifa za mwanamke nimtakaye
Awe na umri usiozidi miaka 30
Awe na elimu kuanzia level ya diploma
Asiwe na watoto zaidi ya mmoja ,asipokuwa na mtoto poa mm nina mtoto mmoja .
Awe na mwili wa wastani
Awe na hofu ya Mungu
Awe na heshima .
Kama uko interested na uko serious nicheck kwa 0788710192