NAITWA FRANK J. NIPO MWANZA, NINA MIAKA 43, NINA MTOTO MMOJA WA KIKE. NAHITAJI MKE ANAYEJITAMBUA NA KUJUA MAANA YA KUWA MKE MWEMA, MKE ANAYETAMBUA WAJIBU WAKE. MKE NINAYEMHITAJI NI KUANZIA MIAKA 25-35, ASIWE MWEMBAMBA SANA WALA MNENE SANA-AWE NA UMBO LA WASTANI BILA KUJALI RANGI ILA AWE NI MKRISTO. AWE NA MVUTO/MSAFI KWA UJUMLA. ALIYE TAYARI ANAKARIBISHWA
↧