Quantcast
Channel: postiboard
Viewing all articles
Browse latest Browse all 219

Nina VVU, Natafuta mume mwenye hali kama yangu tuoane na kuishi pamoja

$
0
0
Habari zenu wote msomao ujumbe huu. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 34, nina watoto wawili. Mimi ni mjane niliyeondokewa na mume wangu miaka miwili iliyopita. Bila kuficha mimi ni mwathirika wa HIV lakini tayari nilishaanza kutumia dawa muda mrefu kwa hiyo kwa mwonekano wa nje afya yangu ni njema. Upweke unaonitesa ndio ulionisukuma kuja hapa kutangaza ombi langu la kutafuta mume wa kuishi nae lakini lazima awe ni mwathirika kama mimi ili tuleane. Maisha yangu ni mazuri, nina nyumba nzuri, gari za kutembelea na maduka mawili makubwa ya Hardware hapa Mwanza, Pia nina mradi wa ng'ombe wa maziwa. Kwa kifupi maisha yanaenda isipokuwa upweke tu unanitesa. Kwa yeyote aliye tayari nitafute kwenye No. +25571956366

Kutoka: Mulika Ulimwengu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 219

Trending Articles